Ombi: Serikali iruhusu wasanii wa vichekesho kuvaa nguo kama za jeshi kwa kibali maalumu wanapohitaji kufanya hivyo. Tuache ukale Baba alimwambia mwanawe Gagaga:“Kila neno lako na kila kitendo chako, huna budi kujifunza kutokana na jinsi mwalimu wako anavyofanya.” Hivyo basi kwenye thread hii nitakuwa naweka vichekesho mbalimbali ili tucheke kabla https://bihlmayermedia-bilder.com/4-advent/